ABBAS KUBAFF LYRICS

"K.E.R.E.A"

Intro

wale wame-freez-iwa juu ya ID nafikiria (yeah!)
nili-spark hii rap ka Biz Markie
nika-lock down industry na master keys
na-shine kama bling bling za Mr. T
mi staki kubo wadhii basi 
nawapa kitu wanaweza kuskiza ii
naweza flow faster ama ki-sparky
shati ishapigwa a pasi 
jeans za mine
zimejikunja kidogo lakini si-mind
dame wa mine
ana figure namba nine 
minus one mazee bonge la eight
nikaingia kwa ndai now we on our way
kufika club nje nakuta line
wengine waki-take time waki-time time
ati watu wa-come
wengine wanani-time
mi sina time
na-step inside
mzeiya mazee jo, pengine baadaye, aaaight!

Chorus

tume-come si tuko masaa 
juu ya kerea,
ta-tararara
para-parap
wasup wasuup
si basi basi tukae masaa

vile tume-come tuko masaa
juu ya kerea
ta-tararara
para parap
wasup wasuup

Verse 2

kufika club nikaigiza ma-drinks
na ma-stick za mshikaki
me and my chick na ka six buddies
madam nikamkamatia ice na glass
double scotch on the rocks na
DJ aki-mix na styles za Code Red
na-feel beat kama Pinye (zangu zieke)
na phase times za DJ Loop
na funk ya Red Room
engineer ako iller than a sick disease
hii weekendi tume-blow kitu sixty Gs
mki-rave na kusikia hii CD
tukatoa video pia na DVD
ukifika kwenye club utaskiza hii
ka uko kerea na unasherekea
mzeiya endelea
sema yeah
ka uko kerea na unasherekea
mzeiya endelea
sema yeah

Chorus

tume-come si tuko masaa 
juu ya kerea,
ta-tararara
para-parap
wasup wasuup
si basi basi tukae masaa

vile tume-come tuko masaa
juu ya kerea
ta-tararara
para parap
wasup wasuup

Verse 3

DJ wekelea kerea haree ikaendelea yeah
nje kumeshona wee wapi n'ingilia
ndani kumejaa tafuta kwa kushikilia
wale wame-freez-iwa juu ya ID nafikiria
cheki cheki vile dame ameng'aria top
nasindilia ye m'ingilia
unaweza perembwa ndani ukisinzia
kwa club unakindiwa
simu za bandia
wengine sitakaribia
juu wanataka tu kunywa bia
na ukishawaagizia na
kuwagharamia watakuharamia na watakuul'za shilling mia
wale wana beef si watakushambulia
wengine wana-time uanze...
watashangilia ah ah
sitaingilia
nasimama kando tu nikiwaangalia
ama wacha nikae
see you baadaye
naingia kwa ndai na nika...

Chorus

tume-come si tuko masaa 
juu ya kerea,
ta-tararara
para-parap
wasup wasuup
si basi basi tukae masaa

vile tume-come tuko masaa
juu ya kerea
ta-tararara
para parap
wasup wasuup

[www.mistari.com]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009