AMANI LYRICS

"Usiwe Mbali"
(feat. AY)

Intro (AY)

Listen
Si furaha ukiwa around niwe mbali
Wee napenda wee ndio yako fahali
Nakosa raha ukisafiri ukiwa mbali
Si unajua moyo unavyokujali

Verse 1 (Amani)

Kila naposafiri
Huwa sina raha
hakuna mwingine ninayehitaji
Hakuna mwingine ninayemtamani
hakuna mwingine ninayehitaji
Hakuna mwingine ninayemtamani 

Chorus (Amani)

Usiwe mbali nami mpenzi 
Usiwe mbali nami mpenzi 
Usiwe mbali nami mpenzi 
I need you in my life

Verse 2 (Amani)

Unaponipigia
Ninapowaza
Penzi la mbali niliache
Ama nivumilie

Chorus

Usiwe mbali nami mpenzi 
Usiwe mbali nami mpenzi 
Usiwe mbali nami mpenzi 
I need you in my life

Verse 3 (AY)

Listen
Si furaha ukiwa around niwe mbali
Wee napenda we ndio yako fahali
Nakosa raha ukisafiri ukiwa mbali
Si unajua moyo unavyokujali
Napo kwenye moyo unanipa amani
Ata kwenye akili unanipa madini
Uko juu sana baby
Hasa kwenye utulivu
Pendo tu lako lady ___
Tumedo kutoka enzi za utoto sana
Inaonyesha jinsi gani tulivyoshibana
Tangu ya zamani
AY na Amani
Nakuambia uamini
Ni jua na sikini
Na kazi ya dabini
Na Ogopa DJs
Toka bongo mpka Nai mjini

Chorus

Usiwe mbali nami mpenzi 
Usiwe mbali nami mpenzi 
Usiwe mbali nami mpenzi 
I need you in my life

Usiwe mbali nami mpenzi 
Usiwe mbali nami mpenzi 
Usiwe mbali nami mpenzi 
I need you in my life

[www.mistari.com]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009