THE BUGZ LYRICS

"Kamoja Tu"
(feat. Cutta C)

Chorus

nipe kamoja tu
mami sitakaa
kamoja tu
tunapoteza tu masaa
kamoja tu
nimechoka kungoja
mi nataka tu kuonja

nipe kamoja tu
mami sitakaa
kamoja tu
tunapoteza tu masaa
kamoja tu
nimechoka kungoja
mi nataka tu kuonja

Verse 1 (VBO)

kamoja tu
ma please usiwe hivo
mi ni mpoa ntacheza nawe na mastingo
hizo wezere zako ni za uziza
tuliza kwanza nivae hii jale yangu ya nylon
sa twende kazi
face to face ni ya R&B
mi hupenda hii ngoma ya B.I naughty girl
DJ Paul ni fala ashai-mix na ragga
kwanza geuka nianze kubamba hizo ah-ah
pole pole aki utamwaga soda yangu
acha niende chini kwa chini ubaki juu
manzee hii stunt si ya udo inanibamba
kwanza simama
DJ asha-mix na blues
hapa ni moss moss minimize hizo moves
hauskii Burn ya Usher Raymond inakamu
inakamu
manze inakamu
inakamu
ma please usisonge
usisonge
ma please usisonge
si nilikuambia usisonge ushamwaga soda yangu

Chorus

nipe kamoja tu
mami sitakaa
kamoja tu
tunapoteza tu masaa
kamoja tu
nimechoka kungoja
mi nataka tu kuonja

nipe kamoja tu
mami sitakaa
kamoja tu
tunapoteza tu masaa
kamoja tu
nimechoka kungoja
mi nataka tu kuonja

Verse 2 (Bobby Mapesa)

nina ubaya na madame
nina ubaya na madame
ati wame-chill
endelea ku-chill
I hope ukiniona na dame hauta-feel
za chipo na za nywele utatoa
mkienda home kudai, anang'oa
ati mambo ni baada ya ndoa
mi ni mdogo sana siezi oa
ka ushaweka mkono kwa pori
si unajua jo kutoa ni ngori
nikikuumiza basi sorry
shh... acha ma-story
mbona hucheki
mimi sisleki
inaiva lakini haichomeki
jasho
toka kwa lips
kwa cheeks, kwa hips, kwa tits

Chorus

nipe kamoja tu
mami sitakaa
kamoja tu
tunapoteza tu masaa
kamoja tu
nimechoka kungoja
mi nataka tu kuonja

nipe kamoja tu
mami sitakaa
kamoja tu
tunapoteza tu masaa
kamoja tu
nimechoka kungoja
mi nataka tu kuonja

Verse 3 (Q-Tah C)

nikiongea wee unasema unanipenda
tukikutana mtaani wee wanilenga
baby wanihepa
ukishanikula paper
waniteka na mabeshte
sina ubaya na wee lady
usione haya nipeleke
toka nje teke
kaonje keki na
usisleki
mi si mfeki

(Bobby Mapesa)

kamoja
sio mob nikidai
sitakaa
aki walai
shika zako ni...
shike zangu ge...
uka hivi ni...
geuke vile
sema hivi ni...
seme vile
cheza hivi ni...
cheze vile
ukichoka
wee pumua

Chorus

nipe kamoja tu
mami sitakaa
kamoja tu
tunapoteza tu masaa
kamoja tu
nimechoka kungoja
mi nataka tu kuonja

nipe kamoja tu
mami sitakaa
kamoja tu
tunapoteza tu masaa
kamoja tu
nimechoka kungoja
mi nataka tu kuonja

[www.mistari.com]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009