Intro (Bobby Mapesa)
roundi hii ka uwezi dance, we enda home
Sexy eeeh
Verse 1 (Bobby Mapesa)
Hey mr dj, hii track ni tamu weka replay
naskia utam tam toka kichwa hadi mguu
situ party,
nikama leo ni sikukuu aah ma
sitaki kudance ma
nataka twende tukaskie utam ma
ni sangapi?
hapa ni wapi?
vile we ni msawa chali wako yuko wapi?
aah, story gain hizo unaleta?
Ushaanza kuteta na siko kangeta
Tushafika, utam inaskika CD zimepasuka keja inanuka
na amuka,
naweka ngoma za dread locks, bedrock
roundi hii ni hard rock aah take it easy si sabuni haikwishi,
dance!
Chorus (Bobby Mapesa)
Naskia utam naskia utam naskia tam tam
Huskii utam huskii utam anskia utam
Naskia utam naskia utam naskia tam tam
Huaskii utam naskia utaam
Naskia utam naskia utam naskia tam tam
Huskii utam huskii utam anskia utam
Naskia utam naskia utam naskia tam tam
Huaskii utam naskia utaam
Verse 2 (VBO)
Manze Juliet alikubali Romeo
hiyo nitam juu Romeo alikua VBO
alinipiga kiss bila hata mimi ku know
niliskia tam bila ile hata ya kupiga show,
huskii tam na ka ni ya dem uskie utam
coz if u like each other, so feel it in your head,
manze we ni m-smart hiyo ni tam kwa workin class
nikigonga glass na mabeste hiyo ni tam
nikipata grade high kwa exam hiyo ni tam
na nikitoa hii ngoma ya tam naskia tam
Juu tam tam ni tam tam na mi huskia tam
hata uliza Michael J.
nikibonga naye ni tam
juu skia when we say we love each other when a haga we feel
time for each other,
forever together we are like birds of a feather,
forever together we are like birds of a feather
Chorus (Bobby Mapesa)
Naskia utam naskia utam naskia tam tam
Huskii utam huskii utam anskia utam
Naskia utam naskia utam naskia tam tam
Huaskii utam naskia utaam
Naskia utam naskia utam naskia tam tam
Huskii utam huskii utam anskia utam
Naskia utam naskia utam naskia tam tam
Huaskii utam naskia utaam
Verse 3
Yah mziki tam
kuenda hepi pia ni tam
kulala tam
chakula tam pia utam
kung’ara tam
timber kubwa pia ni utam
maliza homework juu kiboko hijui tam
mziki tam
kuenda hepi pia ni tam
kulala tam
chakula tam pia utam
kung’ara tam
timber kubwa pia ni utam
maliza homework juu kiboko hijui tam
Chorus (Bobby Mapesa)
Naskia utam naskia utam naskia tam tam
Huskii utam huskii utam anskia utam
Naskia utam naskia utam naskia tam tam
Huaskii utam naskia utaam
Naskia utam naskia utam naskia tam tam
Huskii utam huskii utam anskia utam
Naskia utam naskia utam naskia tam tam
Huaskii utam naskia utaam
Sssssssssss ahhhhhhhhhh...
Hauskii utam naskia tam
Hey sexy ka huwezi dance we enda home
Ehehehe
Chorus (Bobby Mapesa)
Naskia utam naskia utam naskia tam tam
Huskii utam huskii utam anskia utam
Naskia utam naskia utam naskia tam tam
Huaskii utam naskia utaam
Naskia utam naskia utam naskia tam tam
Huskii utam huskii utam anskia utam
Naskia utam naskia utam naskia tam tam
Huaskii utam naskia utaam