THE BUGZ LYRICS

"Wezere"

Intro

yeah, Bugz na Jesse
JB kama kawaida man
vitu mbaya
cheki, skia

Verse 1 (Bobby Mapesa)

ukinicheki utacheki nakucheki
na kenye nacheki kama hazitetemeki basi feki
na usisleki nikikata maji nikibleki
na kuteki sikuweki, mimi sicheki
nimetembelea kwingi
nikazishika mingi 
tangu shule ya msingi
hata Pastor Ndingi
Mwana 'a Nzeki
akizicheki atasema amekreki
na hizo queen keki
zimesimama na zenyewe hazina breki
ningekuwa gari hata singeoverteki
ningefuata na nyuma
ukikwama naskuma
hata ka niko chuma
zingine nazikapa
zingine zaponyoka
zingine zimefungwa
zataka kulipuka
zingine zimesimama 
zingine zimechoka
zingine na ma-dimples
zingine na ma-pimples
siwezi chagulia mtu taste yake
si kila mtu ako na taste yake
mabuda, hmmm...
zile nono nono zile kubwa maanake
amechoka na za wife yake
anahanya hanya hanya
hanya za mwenzake
na sisi maboy
zile soft, young, round, kama toy

Chorus

hizo wezere wezere wezere jo ni za uziza

Verse 2 (VBO)

leo ni A-day, Friday
Johnnie Walker itakuwa holiday
Give way, big A zina-pass
smooth ni ka zimepigwa sandpaper
zimeshiba, ka 3-stair burger
mi hugeuka, wezere ikinipita
ka ni biggy, itabidi naihala
nikizihala, manzi hunihala back
nikisorora, ziubonga Espanyola
niki-spank, wezere husema hoo-rah!
zimejaza hot pants na ma-hey mama
cheki ule vile zake zimesimama
mwingine ule cheki vile zimeinama, inama
ziko biggy sana
ka 40kgs na kamba ya G
what do you scream
ziki taptap zikipiga lap
zikisonga chap chap
ndani ya club zina clapclap
ziki yapyap una-slide credit card
zina-shake card kama vibrator
maboys wa mtaa hubaki
wakiendelea

Chorus

hizo wezere wezere wezere jo ni za uziza
hizo wezere wezere wezere jo ni za uziza

hizo wezere wezere wezere jo ni za uziza
hizo wezere wezere wezere jo ni za uziza

hizo wezere wezere wezere jo ni za uziza
hizo wezere wezere wezere jo ni za uziza

Verse 3

mi hupendelea zikivaa mini, bikini, hipster na manini
kuzichungulia kichinichini
kwani huko kuna nini
wezere biggy, wezere ndogo, wezere kubwa
cheki zikibongabonga
wezere biggy, wezere ndogo, wezere kubwa
cheki zikisongasonga
wezere, wezere
uziza uziza
wezere, wezere
umiza umiza
wezere, wezere
zungusha, zungusha
wezere, wezere
wezere, wezere!

[www.mistari.com]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009