DADDY OWEN LYRICS

"System Ya Kapungala"

Theme: Verse 1 Corinthians 11:1

System ya kapungala
Papa fololo
The king of kapungala...Kapu ngalangala
Ooooo.....Wiiii!!
Ayayayayayaaaa!!!
Eya eya eya eyiii..!!!!

Maneno za umbea na fitina zote minatupa nyuma
Hata tembo na sigara kubwa zote minatupa nyuma
Kusemasema na kutia chumvi zote minatupa nyuma
Kukula mlungula na kutoa pia minatupa nyumaaaa

CHORUS

Nifuate mimi nikimfuata yesu x2
Oneni tu kisogo.... Nikimfuata yesu
Nifuate mimi nikimfuata yesu
Fuata nyayo zangu...Nikimfuata yesu
Nifuate mimi nikimfuata yesu x2
Nifuate mimi nikimfuataaa eyiii!!

Milundilundi na kutia tope zote minatupa nyuma
Hata dhulma na kukata waya zote minatupa nyuma
Kunoga noga na kudona dona zote minatupa nyuma
Ulevi ulevi ulevi ulevi ulevi minatupa nyumaaaaa

CHORUS X2

BRIDGE

Minapenda watoto
Minapenda kuimba
Minapenda kuenda church
Na kuomba ndimi nitaka kata
Minapenda kutoa
Minapenda kusifu
Minapenda kueanda church
Na kuomba ndimi nitakata kata

Zue zue zue zue...Ee maboko likolo maboko likolo maboko likolo
Tunaranda-randa tunarandaranda
Tunaranda randa randa randa randa randa-randaaaa
Tunazunguluka tunazungulukaaa
Tunazungu zungu zungu zungu zungu zungulukaaaa
Tunaenda chini tunaenda chiniii

[www.mistari.com]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009