DEUX VULTURES LYRICS

"Mfupi"

Verse 1 (Colonel Moustafa)

majirani wanasema
ukisafiri kuna mgeni
anadanganya watu ni uncle
kumbe usiku anafanya mambo
anapikiwa anafuliwa
pesa uliacha anatumia
pesa uliacha anatumia

Bridge

aii, aii, aii, aii
sijui afanyaje
aii, aii, aii, aii
apewe talaka yake
aii, aii, aii, aii
sijui afanyaje
aii, aii, aii, aii

Chorus

bibi yake mfupi, bwana yake mfupi
bibi yake mfupi, bwana yake mfupi

lakini wamezaa kijana mrefu ametoka wapi
lakini wamezaa kijana mrefu ametoka wapi

haiya kapatikana
haiya kapatikana

Verse 2 (Nasty Thomas)

nilikuwa na jirani yangu na mke wake
mume wake hadi hela kazini amebaki pekee yake
anafanywa sherati kwa nyumba ya mume wake
kuhanyiza asubuhi bila ruhusa za mume wake
ambaye oh
amevaa tikana
tena oh
kwa kitanda
na mzee 
mwenye nyumba
ameshindwa 
la kusema

Bridge

aii, aii, aii, aii
sijui afanyaje
aii, aii, aii, aii
apewe talaka yake
aii, aii, aii, aii
sijui afanyaje
aii, aii, aii, aii

Chorus

bibi yake mfupi, bwana yake mfupi
bibi yake mfupi, bwana yake mfupi

lakini wamezaa kijana mrefu ametoka wapi
lakini wamezaa kijana mrefu ametoka wapi

haiya kapatikana
haiya kapatikana

Verse 3

Je unaeza achia simba sungura
hapana!
hata ka sungura ni mjanja
hapana!
kama simba ameshiba
ndio!

Bridge

aii, aii, aii, aii
sijui afanyaje
aii, aii, aii, aii
apewe talaka yake
aii, aii, aii, aii
sijui afanyaje
aii, aii, aii, aii

Chorus

bibi yake mfupi, bwana yake mfupi
bibi yake mfupi, bwana yake mfupi

lakini wamezaa kijana mrefu ametoka wapi
lakini wamezaa kijana mrefu ametoka wapi

haiya kapatikana
haiya kapatikana

[www.mistari.com]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009