E-SIR LYRICS

"Leo ni Leo"

Chorus 2x

Leo leo (2x)

Leo ni leo
Asemaye kesho ni muongo
Manzi nipe nipe mkono
Tembea nani cheza mani
Leo warudi nyumbani bali kiuno
Wacha nikupe mfano

Verse 1

Ni ijumaa saa mbili imefika
Weekendi imeingia lazima nitashangilia
Tomo ukifika nyumbani pigia simu Rodha na Rukia
Tapigia Monalisa usisahau tena pia
Kuja na pesa za kutosha kabla hauja nipitia
Jua pirate wapenda mangiri si mamia
Kiswahili na wakilisha
Mamanzi not forgetting karioke club atoti from the front to the rear
Bringing down the house no matter how strong the pillar
Kwa sababu

Repeat Chorus 2x

Verse 2

Natoka ndani ya nyumba nikimeremeta kama nyota
Unawezakuwa kipofu usiniangalie mbota
Kutoka juu mpaka chini nimevaa hil figure
Marashi ya polo
Kwa hivyo vizuri nanukia aaah!
Gari ni 504
Tom ana nitoto tofungua dirisha kuna joto to
Mpaka wapi bro
Baada ya kengeles tutamalizia canivore
Bouncer amekuja kuparty fungua mlango jo
Leo ni leo
Asemae kesho ni muongo
Acha kuongea mob
Nipe chupa mbili za tembo
Nionyeshe upendo oyah..aah!

Leo leo leo asemaye kesho ni muongo (2x)

Verse 3

Excuse me mbona wataka kutuua na mazishi plan
Kuja waiter twenty tatu sasa mbuka
Na kama kawaida mbili mbili sambuka
Dame mwenye kutembea utafikiri ana viuno viwili aah!
Jina langu ni E-sir
Mimi wananiita majina lako nimelisikia
Mahali wa sound very familiar
Ni lazima umenisikia kwa radio
Kiss capital nation na pia metro
Unaweza kwa mafuta ukishika kama petrol
Mzee wako akiuumiza E-sir ndoi dettol
Leo ni leo kwa hivyo ngoje kesho

Repeat Chorus 2x

Leo leo leo asemaye kesho ni muongo (2x)

Verse 4

Kama unaonatrack imekushika
Ningependa ukaribie spika
Ongeza volume
Kama uko ndani ya club
Uwe mamba carni........au club yoyote
Mwambie DJ akupe scarch mbili
Nakama yuwakuliza kwanini
Mwambie hivi

Repeat Chorus till fade

[www.mistari.com]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009