ESTHER WAHOME LYRICS

"Kuna Dawa"

Chorus

Kuna dawa, Kuna dawa (4x)

Verse 1 2x

Nayatangazia mataifa
Kuna dawa na waipokee
Dawa nii Kumpokea Yesu
Ooh Kuna dawaa

Chorus

Kuna dawa, kuna dawa ad lib
Dawa nii Yesu
Mpokee leo
Kuna dawa
Naitangaza dawaa
Halleluya
Dawa, dawa, dawa (3x)

Verse 2 (2x)

Pokea dawa bila malipo
Yaponya roho napia mwili
Yao ndoa dhiki na laana
Ooh, kuna dawa

Chorus

Kuna dawa, kuna dawa ad lib
Kuna dawa
Yesu ndiye dawa
Pokea dawa
Kuna dawa, kuna dawa
Kuna dawa
Pokea dawa yake
Kuna dawa, kuna dawa
Yesu
Nawasihi
Kuna dawa, kuna dawa
Munywe dawa

Verse 3 2x

Nawasihi wote munywe dawa
Wazee kwa vijana tunywe dawa
Watoto pia wapewe dawa
Ooh, kuna dawa

Chorus

Kuna dawa, kuna dawa ad lib
Kuna dawa
Natangagaza Kwa Mataifa
Yesu ndiye dawa
Hakuna hakuna hakuna fundisho
Linginee
Dawa ndio wahitaji Mama
Ikubali
Ikubali hii
Dawa Dawa Dawa
Kuna dawa, kuna dawa
Vijana Munywe Dawa Nina
Tangazaa
Kuna dawa, kuna dawa
Msife Mwoyo
Ooh Mama
Usife Mwoyo
Kuna dawa, kuna dawa

 

[www.mistari.com]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009