FLEXX LYRICS

"Kama Wanitaka"

Chorus

kama wanitaka 
sa ushanipata
tafadhali njoo ukae hapa
nami nakutaka
kweli wanibamba
ukinihitaji niko hapa

kama wanitaka 
sa ushanipata
tafadhali njoo ukae hapa
nami nakutaka
kweli wanibamba
ukinihitaji niko hapa

Verse 1

wewe ni mtamu sina wasiwasi
sasa nakuambia wazi
nami nataka uanze story sasa
kwani 
mi nataka niwe nawe mama
nikitupa macho kwako wastuka
tena wa-stammer
nawe watetemeka

Chorus

kama wanitaka 
sa ushanipata
tafadhali njoo ukae hapa
nami nakutaka
kweli wanibamba
ukinihitaji niko hapa

kama wanitaka 
sa ushanipata
tafadhali njoo ukae hapa
nami nakutaka
kweli wanibamba
ukinihitaji niko hapa

Verse 2

kama unataka twende nawe ni-show
mbona ukinicheki una-feel so low
make you realise ni ukweli si lies
mpenzi look tume-rise
nikitupa macho kwako wastuka
tena wa-stammer
nawe watetemeka

Chorus

kama wanitaka 
sa ushanipata
tafadhali njoo ukae hapa
nami nakutaka
kweli wanibamba
ukinihitaji niko hapa

kama wanitaka 
sa ushanipata
tafadhali njoo ukae hapa
nami nakutaka
kweli wanibamba
ukinihitaji niko hapa

kama wanitaka 
sa ushanipata
tafadhali njoo ukae hapa
nami nakutaka
kweli wanibamba
ukinihitaji niko hapa

Verse 3

wewe ni mtamu sina wasiwasi
sasa nakuambia wazi
nami nataka uanze story sasa
kwani 
mi nataka niwe nawe mama
nikitupa macho kwako wastuka
tena wa-stammer
nawe watetemeka

Chorus

kama wanitaka 
sa ushanipata
tafadhali njoo ukae hapa
nami nakutaka
kweli wanibamba
ukinihitaji niko hapa

kama wanitaka 
sa ushanipata
tafadhali njoo ukae hapa
nami nakutaka
kweli wanibamba
ukinihitaji niko hapa

Tafadhali
wewe ni mtamu kama asali honey
nitazame
macho kama bunny
mbona ukinicheki una-feel so shy

Tafadhali
wewe ni mtamu kama asali honey
nitazame
macho kama bunny
mbona ukinicheki una-feel so shy
nikitupa macho kwako wastuka
tena wa-stammer
nawe watetemeka

Chorus

kama wanitaka 
sa ushanipata
tafadhali njoo ukae hapa
nami nakutaka
kweli wanibamba
ukinihitaji niko hapa

kama wanitaka 
sa ushanipata
tafadhali njoo ukae hapa
nami nakutaka
kweli wanibamba
ukinihitaji niko hapa

[www.mistari.com]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009