Chorus
niantaje
vipi dantada
ngontoma inakubantamba
twentende kwenye dantance floor
chintini kwa chintini
dunda
niantaje
vipi benteshte
ngontoma inakubantamba
twentende kwenye dantance floor
chintini kwa chintini
dunda
Verse 1
we were kuku dancing
mmm aaah
mimi na mabeshte kadhaa
tukiwaka kama mishumaa
especially mimi na Manga
na mimi
wananiita Habibi
wanasema mi hu-spit vile
lakini na-spit hivi
bila mimi haiwezekani
bila switch stima utaiakisha aje
bila nare blaze itabamba aje
bila tembo mazee utapewa aje
you better
stop relaxing
question askin
get on the floor and don't stop dancin
get on the floor and don't stop dancin
Chorus
niantaje
vipi dantada
ngontoma inakubantamba
twentende kwenye dantance floor
chintini kwa chintini
dunda
niantaje
vipi benteshte
ngontoma inakubantamba
twentende kwenye dantance floor
chintini kwa chintini
dunda
Verse 2
when we start romancing
ni kukaa chini na kuhanda ma-barley
kusorora mamanzi
no doubt leo moja warudi nami nyumbani
ati nani
Manga, huyo kijana
akijulikana kuwashika hawa madada
kuwapa Kiswahili vile yastahili
dada vipi
stop relaxing
why you question asking
get on the floor and don't stop dancin
get on the floor and don't stop dancin
Chorus
niantaje
vipi dantada
ngontoma inakubantamba
twentende kwenye dantance floor
chintini kwa chintini
dunda
niantaje
vipi benteshte
ngontoma inakubantamba
twentende kwenye dantance floor
chintini kwa chintini
dunda
Verse 3
dunda eeh dunda aah
dunda dunda dunda (dunda)
dunda eeh dunda aah
dunda dunda dunda (dunda)
Manga vipi
Habib vipi
Manga vipi
Habib vipi
I say shika manzi yako hivi
shika beste yako hivi
shika manzi yako hivi
shika beste yako hivi
kata kiuno
shaky leggy
kata kiuno
shaky leggy
kata kiuno
shaky leggy
kata kiuno
shaky leggy
shaky shaky shaky...
Chorus
niantaje
vipi dantada
ngontoma inakubantamba
twentende kwenye dantance floor
chintini kwa chintini
dunda
niantaje
vipi benteshte
ngontoma inakubantamba
twentende kwenye dantance floor
chintini kwa chintini
dunda