Intro
Jaguar, jaguar....
Eeeehh eeeeheeeehee,
Siku nyingi zimepita
Bado mi nawe twapendana
Oooh ooohh oooooohh
ooooooh ogopa deejays...
Chorus
Wee nikama my sweet mama
nikama nyimbo nayo ipenda,kila
siku nikucheze, kila siku nikuskizee
nikuskize kila siku nikuskizee eeeh
nikuskizee.......
Funga macho nikupe zawadi ya
maisha,pete nikuvalishe milele
uwe wangu, kila siku nikuone
asubuhi uamkapo niwe wa
kwanza kukuona, kukuoooona..
Chorus
Ona wamekubali mimi na wewe
twafaana, kokote tuendako wote
wanakubali, nami nimekuchorea
watoto unipee, mama mzazi
unipe,baba mzazi unipe....Eeeeh
unipeee eeeeeeeiiiieee
Chorus
Interlude
Eeeeeeeh eeeeehhhhh siku
nyingi zimepita bado minawe
twapendana, siku nyingi zimepita
bado si twapendana x3
Chorus x3