JAMNAZI AFRICA LYRICS
Mimi ninalo jambo la nisumbua akili mungu aliupanga usiku saa ya kulala mbona walimwengu mmebadili mipango
? mi – nashangaa yeaa repeat karo za watoto mnatafuta usiku koinange mnatafuta usiku mi – nashangaa repeat niliambiwa na babu yangu 2x nimeamini kilichosemwa na babu Mgaagaa na upwa hali wali mkavu lakini sasa mwapumzika saa ngapi ? mi – nashangaa niliambiwa na babu yangu repeat |
|
| All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only. | |
| Copyright © mistari.com 2009 |