JAYA LYRICS

"Msamaha"

Verse 1

Maneno, matendo, mawazo, mwenendo wangu
Haya yote yalinisaliti, niligeuka nikawa tofauti
Yale ya jana yalipita, tugange ya leo
Kila mtu anahitaji msamaha

Chorus

Aaaaa, nilikosa, aaaaaa, najua
Aaaaa, nilikosa, lakini najua nahitaji msamaha

Verse 2

Huruma, amani, mapendo, sikuwa navyo
Roho yangu ilijaa hofu, moyo wangu ulikosa majibu
Sikuwa na wa kushika mkono siteleze
nilitaka malaika anitosheleze

Chorus

Aaaaa, nilikosa, aaaaaa, najua
Aaaaa, nilikosa, lakini najua nahitaji msamaha

Verse 3

Nimebadilika, na sasa naomba msamaha
Nataka kusema pole... Nisamehe!!

Chorus

Aaaaa, nilikosa, aaaaaa, najua
Aaaaa, nilikosa, lakini najua nahitaji msamaha

[www.mistari.com]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009