JUACALI LYRICS
Kamata dame *7 Chorus kila kila mtu na wake Verse 1 Clubu imeshona vichakari vihangari *3 Eh! dada niambie jina lako Verse 2 Mkono zangu zinaniwasha nashindwa tashika manzi mgani hapa ndani Kamata dame *4 Verse 3Chali yangu bana si ukona mtoto wako usiangalie wangu hivyo Hapa ni noma ukikaa mbaya unaeza rushwa kwa hivyo mshughulikie vilivyo Ka ni bia anataka mnunulie Ka ni tot mbili anataka mchukulie Haja gani kubania ganji na mkirudi kejani atakupatia bila wasiwasi vako yoyote mtajaribu ata ikue ngumu design gani we mfrahishe kesho akuringie kwa beste zake na yule msuper zaidi usimweke mchinjie kuipande na hii pande ingine tia bidii asahau chali yake ukifanya hivyo utaona kila siku vile utakua U - NA Kamata dame Geuza dame *2 |
||
| All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only. | ||
| Copyright © mistari.com 2009 |