JUACALI LYRICS

"Kiasi"

Intro

Genge jo inanibamba mbaya
Yani hii mziki yani
Nikiiskia yani meuskia sijui aje
Nika ni pige nduru KIASI
Watu!  mnajua niaje(NIAJE)
Kitu yoyote tawaambia leo
Mtanijibu tu KIASI

Verse 1

Maisha yangu tamu siku inanirarukia mbaya lakini nimeamua kuituliza KIASI
Kabla pombe iniue itabidi nimeiwacha kabisa ama nianze kuikunywa KIASI
Ona vile nywele zangu zimerefuka mpaka watu wananiambia zipunguze KIASI
Walikua wanafkiria nimeacha ngoma sababu nimepotea ngoma ni mingi ngoma si KIASI
Na zote ziko poa ka mchele imeekewa mnazi ama imegusiwa KIASI
Ka hii ngoma inakubamba basi si ukatike na ka inakushika si uongeze sauti tenje KIASI
Chukua chali yako chukua manzi yako mweke karibu zitoke nae KIASI
Leo ata staki utupe mkono juu me nitingishie tu kichwa yako KIASI
staki ukatike sana mpaka uvunje mguu we nisaidie tu kuimba KIASI

CHORUS

Kiasi eh eheea imeni imeni imenibamba
(Kiasi kiasi eh eheea imeni imeni imenibamba *3)

Verse 2

Hawa watu jana walinishika ikabidi nimewaachia yao KIASI
Beste yangu akaanza kubishana nao akanyamazishwa na ma mbao KIASI
Eeeh! chali yangu haujawai skia maneno ya hawa watu hawana huruma ata KIASI
Juzi gari ya mafuta ikaanguka si waliangalia watu wakiiva KIASI
Nyama choma kila mahali kachumbari poa lakini iongeze kitungu KIASI
Wale wameponea wapeleke hosi watatibiwa na madaktari KIASI
Hao wengine hawakuja job wanasema leo wajamaliziwa ile ganji yao KIASI
Eeeh! uspotibiwa sai utaona tu maisha yako ikikuacha KIASI
Lakini usiwe na wasiwasi itarudi tu baada ya ma dakika baada ya ma dakika KIASI
Ebu niambie hio pande ingine ni ku poa ama ni kubaya hivi KIASI
Kumetulia ama watu wanaungua ama watu wanaiva hivi KIASI

CHORUS

Verse 3

Naskia raha wasee wamechanuka siku hizi ngoma mbaya haziskizwi ata KIASI
Pia naskia raha unaeza chinjia manzi siku hizi ata ka ni mzee wako KIASI
Kabla niende kumwona lazima nipige nguo pasi nijipake mafuta KIASI
Niakikishe ngotha safi na ka si ma thao mfukoni nikue na ganji ata KIASI
Leo lazima nijue ka ananipenda sana ama labda ananichukia KIASI
Lazima nijue ka tazamisha yote ama taiekelea KIASI
Akikata naachana nae naenda kutafuta mwengine msupa tu KIASI
Na najua tapata kiswahili yangu ni mambo yote hapa hakuna cha lugha KIASI
Afta hio tunakuta vitu kuta vitu mchana tunatulia KIASI

CHORUS

[www.mistari.com]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009