JUACALI LYRICS

"Kwaheri"
(feat. Sanaipei Tande (Sana)

Verse 1 - Juacali

Kwani nimewekewa madawa, siwezi kukuacha
Kila mahali unaenda mi nakufuata
Siogopi kukuambia, mi nakupenda
Watu wa wivu nao zao ni kusemasema
Huyo manzi alinipigia simu mi hata simjui
Mi nimekuwa studio, ati tulikuwa naye wapi juzi
Hizo ni uwongo na unajua
Mlango yangu iko wazi, we ukitaka kurudi nimeifungwa
Unasema hapana, hapana
Huku ukilia mi navumilia
Mi nakazana, nakazana
After hii yote, siamini bado unawezaniambia…

Chorus 2x – Sana

Nakuaga mi kwaheri
Nami ninakutakia la heri
Kukupenda mi siwezi
Jamani, mpenzi kwaheri

Verse 2 - Jua Cali

Ninashughulika kila kitu yangu irudi fiti
Vile ulipotea tu, watu mtaani wakafikiria nimechizi
Silali, kusema ukweli sikuli
Kejani bana hata siku hizi hata situlii
Nipige makofi labda naota
Ama nikuache, pia naskia ni kama nimechoka
Kujitetea pali niko au pali siko
Nasi tumetupa, miaka sita hivyo
Unasema hapana, hapana
Huku ukilia mi navumilia
Mi nakazana, nakazana
After hii yote, siamini bado unawezaniambia…

Repeat Chorus - Sana

Verse 3 - Jua Cali

Hasira ni ya nini, bana tulia
Biashara yetu bado mi nimeishikilia
Na nguvu yangu yote, naweza
Pesa zako kuna mali poa nimeiweka
Unaweza chuna kadhaa ukitaka
Zile zitabaki, nunua nazo shamba
Lazima tufikirie maisha yetu ya mbele
Sio kila siku kelele kelele

Bridge - Sana

Tukiwa na wewe
Mambo yako yenda kombo
Japo nisonge hapo, matatizo yako yakoma

Repeat Chorus 4x - Sana

Repeat Bridge - Sana

Repeat Chorus 2x - Sana

[www.mistari.com]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009