Ngoma mpya
Calif records
Ka kawaida simnajua hii ni genge
Eeeh!
Juacali
Unaniroga
Tunawaroga
Twende twende kazi
Verse1
Nimekua nakuona kutoka kitambo
Daily niko ngazini nakula moto na hii mwili yako
Nilikua nashindwa taongea aje na wewe
Lakini leo jo sina ujanja sababu nakutaka wewe
Unaitwa aje eeeh! hio ni jina poa
Me ni juacali na ngoma zangu ni poa
Calif records ushaniskia kwa radio
Nishaona mamanzi wengi sana au sio?
Lakini we ndio wa kwanza jo kupeleka damu yangu mbio
We ni kitu kushinda mamanzi wote wa Nairobi
Lips wazimu mapua imechongwa unakaa poa na hio mavin ukiskiza walkie
Naona unaskia baridi wacha nikupe jacko yangu uvae
Usiogope ikona joto sana we ivae
Leta hio bag yako nikusaidie kubeba
Utapita hapa siku gani ningependa kukuona tena
Saa wacha tutembee pamoja tukiongea
Usiogopa wale jamaa wanatuangalia me nshawazoea
Nikivuta vidole zangu hivi ona wakipotea
Chorus
Nakuroga
Unaniroga
Heeey heeey
Tufanye nini?
turogane
nakuroga
Unaniroga
Heeey
Tufanye nini?
turogane
Verse2
Una smile poa kuna mtu ashakuambia
Una dimples poa kuna mtu ashakuambia
Wacha basi nikue mtu wa kwanza kukuambia hivyo
Ukipita njiani hizo vitu zako zitafanya watu wengi wavunje shingo
Ukicheka hivyo najua kitu iko
Naeza shika nywele zako kidogo?
Uuuuh! Jo kusema tu ukweli hizo nguo umevaa zinakutoa poa
Staki kukuchekesha sana mpaka uanze kukohoa
Ona vile mwili yako imejichonga
Kichwa yako inakuuma wacha nikuu… utapona
Unaniambia ati chali yako aliku tia zii
Vile uko sawa me sioni ka takuacha
Uamini usiamini vile niko hivi
Sijakua na manzi for 3 yrs hivi
Saa hii najua unafikiria huyu jamaa anakudanganya
Si nshamwona mara nyingi mtaani akihanya
Labda uliona mtu mwengine si mimi
Me nataka tu kukuroga kwani iko nini!
Aaah! Tushafika hapa ndio kwenu
Pia me naishi pale si mbali kwa ile nyumba jo
Ikona fence ya… fence ya…
Verse 3
Saa hii ni 4 months na si bado ni ma beste
Kuna machali hawataki kutuona pamoja itabidi nimewapiga mateke
Mathako nae nimeona ahana noma sana
Mbuyu wako nilimwona jana mara ya kwanza
Vile aliniangalia jo najua anaeza nchapa mbaya
Lakini sahau hio sai hii ni time yetu me na wewe
Ka we ni manzi ma pombe tuende bar ulewe
Ka we ni manzi ma clubu tuende ngoma ucheze
Ka we ni manzi ma juo tuende kwa popo upewe
Ni tamu ukikunywa mingi sana usitete
Naona sai uko sawa umeshiba shiba
Tunarelax kwa bench unaongea na mi nakushika shika
Hatuezi enda home sai kuna rationing
Sai ni saa sita najua hao mafala wamezima stima
Time mingi nikona wewe mpaka mabeste wanazusha
Siku hizi juacali amejipoteza inaonekana ametutupa
Hawajui nspokuona naeza kua mgonjwa
Nimekunoki hio design mpaka nashikwa na ugonjwa
A la! Nataka kukuroga we ndio unaniroga
ebu ngoja
leo umengara kwani tunaenda wapi?
Ooooh! Ile movie nilikua nimesahau eeh! inaanza saa ngapi
Eeeh! inaanza saa ngapi?