JUACALI LYRICS

"Nikipotea Tena"

Niaje jamaa siku mingi jo
Mko tu pia me niko
Nimekua tu na shughulikia maneno ingine hapa kidogo
Mnaendelea aje lakini
Naona ngoma za calif zinawararukia hivi
Na bado mtakubali
Jua imewaka eeh? Na bado itakua kali
Nilikua ocha kidogo sai nimerudi
Nimeanza kurecord ma ngoma mpya tu juzi
Pia nilikua na shoot video yangu ya pili iko karibu kutoka
Ikitoka nyi ndio mtakua watu wa kwanza kuiona
Hii video ni yenu na wale watu wote wananipenda
Kwa hivyo nikipotea tena
we eka hii ngoma alafu utajua pali nimeenda nimeenda

nilikua nimeenda BUSIA
(kulikua aje?) Uko ni kuzuri

nilikua nimeenda MACHAKOS
(kulikua aje?) uko ni kuzuri

nilikua nimeenda MALINDI
(kulikua aje?) uko ni kuzuri

niliku nimeenda KAKAMEGA
(na uko kulikua aje?) uko ni kuzuri

lakini juacali bana sijakuona siku mingi umpotelea wapi bana umpotelea chali yangu eeeh?

ni months kadha tu sijapotea hivyo sana
vile nimerudi nimejaribu kuskiza radio nimeshindwa
kwa sabu hakuna kutu yoyote ya maana
dj niroge na genge ama uzime hizo mashini zako
na usinijamishe zaidi nikona stress nilikua nafkiria
nikona manzi kumbe aliniacha kitambo
ati anasema nimependa ngoma zangu ata kumshinda
na guess anaendelea poa lakini naskia ameget chali yukona
noti ata kunishinda
lakini hio ainitishi hii ni Nairobi kuachwa na mamanzi tushazoea
na we beste unaendelea aje sababu pia we umpotea
bado hauja hama home aah! Utatoka tu usijali
thanx jo umenikumbusha ni noma siku hizi kutembea usiku mtaani
tuspochunga tutafungwa kujifanya wajuaji kwisha wacha tukae kwetu
strong jamaa hivyo hivyo ata ka wanatuchukia bado tutapromote mziki zetu
msishughulike nao kuna watu wengi sana wanatupenda
kwa hivyo nikipotea tena we eka ngoma alafu utajua pali nimeenda nimeenda

nilikua nimeenda ELDI
(kulikua aje?) uko ni kuzuri

nilikua nimeenda MERU
(kulikua aje?) uko ni kuzuri

nilikua nimeenda KITALE
(kulikua aje?) uko ni kuzuri

nilikua nimeenda NYERI
(na uko kulikua aje?) uko ni kuzuri

eeeh! juacali naona jo umetoa mashavu jo inakaa ilikubamba
kulikua aje jo uko ebu niambie niambie jo kulikua aje?
kulikua kuzuri kila mtu uko amewasalimia
wanauliza siku gani tutaenda uko kuwakilisha
nikawaambia tulieni tunakuja tunakuja
tukishamalizana kwanza na hawa ma promoter wamependa kutusumbua
mmetufinyilia sana tupatieni pesa yetu
kumbukeni hizo vitambi mnatoa ni sababu yetu
hizo ma gari mnapeleka peleka ni sababu yetu
jo si kwa ubaya imebidi tu nimewaambia
jo si kwa ubaya ma artist wengi uku nje wanaumia
hii ngoma ni yao na wale watu wote wananipenda
kwa hivyo nikipotea tena we eka hii ngoma alafu utajua pali nimeenda

nilikua nimeenda KISUMU
(kulikua aje?) uko ni kuzuri

nilikua nimeenda THIKA
(kulikua aje?) uko ni kuzuri

nilikua nimeenda COAST
(kulikua aje?) uko kuzuri

nilikua nimeenda NAKURU
(na uko kulikua aje?) uko ni kuzuri

nilikua nimeenda GARISSA
uko ni kuzuri

nilikua nimeenda MUMIAS
uko ni kuzuri

nilikua nimeenda SULTAN HAMUD
eeeeh uko ni kuzuri

na nilikua nimeenda IRAQ
(kulikua aje?) aaah uko ni kubaya

na nimerudi Nairobi na uku nikuzuri

genge genge
[www.mistari.com]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009