JUACALI LYRICS
Tafadhali tupa vumbi kwa hewa uone jina yangu Mc ukiulizwa nani alikuchapa sema ni mimi Ukiulizwa nani alikushikashika sema ni mimi Unaskia Pole sana baby gal sina pesa ya kukupeleka steers Utaniwacha nini? Utanitia zii nini? Me ni mtu wa nguvu kwani haujui Wacha nione hio uso vizuri toa buibui Miguu zako ziko Me ni mgonjwa ukiniangalia macho zako ndio dawa Ngozi yako tu sh sh sh! Laini taigusa after kunawa Kuja tuka Maji si ya moto lakini ni sawa Jo kweli kuna manzi mwengine Yukona mwili wazimu ka hio yako sidhani Inatubamba pamoja tamu ka asali Saa ka sai siezi penda kuskia story za cali Nakitoa nguo Nipeleke pole pole jo utapasua hii shati Siezi tembea uchi nje kwani haujui nje ni kali ni kali (enyewe jua ni kali,imewaka mpaka nafeel thirsty, shika basi hii pesa ya soda,staki soda nipatie maji) |
||
| All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only. | ||
| Copyright © mistari.com 2009 |