KAMBUA LYRICS
Wewe ni nguzo yangu wewe kimbilio langu Mwanga wangu Baba yangu Nikikimbia nimkimbilie nani nikikilia nimlilie nani nikianguka nani aniamshaye nikilala nani anilindaye
Nishikilie niongoze mbali na waovu Baba eh Nionyeshe njia zako nami nitazifuata milele
Gongo lako na fimbo yako vya nifariji Baba eh waanda meza mbele yangu machoni pa watesi wangu
Nishikilie....