K-RUPT LYRICS

"Mabeste"

Chorus

mabeste niaje weekendi kwa nani
na mtapata mamanzi wapi
si hoja, keroro na ngoma yatosha
keja imeshona vinoma

mabeste niaje weekendi kwa nani
na mtapata mamanzi wapi
si hoja, keroro na ngoma yatosha
keja imeshona vinoma

Verse 1

wacha niwaalike wanati mababi
kejani kuna crate na mamanzi jamani
na hawa wadhii wa maana kiplani
kwa Mola shukrani
na hao wa kuchoresha wadhii mpango flani flani
juu nyumbani hakubambi
hatulali juu hakuna wazazi
basi kama maringo hupendi
nawe ni mtu wa kweli kama teni
makuti kwa Canaan kuna hepi
hatutaki wasee wana mashida kichwani
wadhii wacheni mabibi nyumbani tafadhali
ni weekendi wakati wa hepi
wakati wa kuangusha virago mtaani
I'm going to party so
make sure that you hold your honey coz
ukiwacha vifunguo kwa Ferrari bana
itabidi nimejipanga na gari bana

Chorus

mabeste niaje weekendi kwa nani
na mtapata mamanzi wapi
si hoja, keroro na ngoma yatosha
keja imeshona vinoma

mabeste niaje weekendi kwa nani
na mtapata mamanzi wapi
si hoja, keroro na ngoma yatosha
keja imeshona vinoma

Verse 2

Ijumaa weekendi siwezi nikangoja
hoja ni West
na ni kitu saa moja juu ni lazima tukamate sigara na njiti za kwanza
kirende ni jeshi wadhii wafreshi juu maringo hatupendi
hewa provided by east side
tena location ni B side lakini
kabla
hatujaanza kuchana miti ya ndani
isije tukawacha
we're making this international
K.E.N.Y.A and Bongo
blending voices, no noises
bringing no nonsense
in the party making it a blast for the audience
basi mjipige mavazi kibambe
mabinti bangili heri ni pale
and make sure you're looking fly for the Saturday
kisha tukutane kule bila swali

Chorus

mabeste niaje weekendi kwa nani
na mtapata mamanzi wapi
si hoja, keroro na ngoma yatosha
keja imeshona vinoma

mabeste niaje weekendi kwa nani
na mtapata mamanzi wapi
si hoja, keroro na ngoma yatosha
keja imeshona vinoma

mabeste niaje weekendi kwa nani
na mtapata mamanzi wapi
si hoja, keroro na ngoma yatosha
keja imeshona vinoma

mabeste niaje weekendi kwa nani
na mtapata mamanzi wapi
si hoja, keroro na ngoma yatosha
keja imeshona vinoma

mabeste niaje weekendi kwa nani (Herbal Records)

[www.mistari.com]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009