K-RUPT LYRICS

"Tukawake"

Chorus

twende tukawake
huko Nairobi West 
tupitie South C
kashamba kabambe
twende tukawake
huko Nairobi West 
tupitie South C

Verse 1

kwa mara ya pili
skizeni kwa makini
prime time yangu kafika
pima rutini
making the noise
its better to be out with your boys
making some trolls 
so pretty homies sticking to toys
napiga time check saa ngapi
fungua radio yako
piga fine tune
cheki kama ni
tisa nane tane
tisa sita tane

Chorus

twende tukawake
huko Nairobi West 
tupitie South C
kashamba kabambe
twende tukawake
huko Nairobi West 
tupitie South C

Verse 2

nasema huu mwaka nimekuja
kuvuka mpaka
with illicit rhymes na-preach kama pastor
pastor? Mababi nao rasta wote wamechacha kwenye dancefloor
chini kwa chini ikibamba
shika namba kamata wako
escort kwenye dancefloor nachora mpango
Niothes, wapi wale wadhii wachore
wako kule nje wana...finya vidole
bas, pitisha hiyo gomba tuchonge
nusu lita ya Sprite toboa na ibambe
kuanzia saa hii hadi time gomba itanasa
na wale wako ndani pale itabamba

Chorus

twende tukawake
huko Nairobi West 
tupitie South C
kashamba kabambe
twende tukawake
huko Nairobi West 
tupitie South C

[www.mistari.com]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009