MARYA LYRICS

"Hey Baby"
(feat. Colonel Mustapha)

Intro (Colonel Mustafa)

I love you too
Marya
Colonel
Ogopa DJs

Chorus
(Marya)

Hey hey hey baby
kuna kitu mimi nataka ku(sema)
nataka ku(sema)
niamini nikikuambia I need you

(Mustafa)

Hey hey hey baby
kuna kitu mimi nataka ku(sema)
nataka ku(sema)
niamini nikikuambia I love you

Verse 1 (Marya)

amini nikikuambia mimi nakupenda
kila wakati mimi naku-feel sana
nikikuangalia pia naskia kulia
story yangu ile mi uliskia
na ile message ulisoma kwa simu
mi sijui ilitoka wapi
nadhani maadui wangu waliniseti
mapenzi yetu yaishe kweli

Chorus
(Marya)

Hey hey hey baby
kuna kitu mimi nataka ku(sema)
nataka ku(sema)
niamini nikikuambia I need you

(Mustafa)

Hey hey hey baby
kuna kitu mimi nataka ku(sema)
nataka ku(sema)
niamini nikikuambia I love you

Verse 2 (Mustafa)

amini nikikuambia I love you je t'aime
uko na vitu mimi nazipenda sana
nikikuangalia baby naskia kulia
tabia yako kweli mi yanivutia
na ile lipstick ulipata kwa shati
yangu mi sijui ilitoka wapi
nadhani maadui wangu waliniseti
mapenzi yetu yaishe kweli

Chorus
(Marya)

Hey hey hey baby
kuna kitu mimi nataka ku(sema)
nataka ku(sema)
niamini nikikuambia I need you

(Mustafa)

Hey hey hey baby
kuna kitu mimi nataka ku(sema)
nataka ku(sema)
niamini nikikuambia I love you

Verse 3
(Mustafa)

mapenzi yetu mi nataka tu yaendelee
maishani tuwe sote
niamini nikikuambia I love you
niamini nikikuambia I need you

(Marya)

mapenzi yetu mi nataka tu yaendelee
maishani tuwe sote
niamini nikikuambia I love you
niamini nikikuambia I need you

Chorus
(Marya)

Hey hey hey baby
kuna kitu mimi nataka ku(sema)
nataka ku(sema)
niamini nikikuambia I need you

(Mustafa)

Hey hey hey baby
kuna kitu mimi nataka ku(sema)
nataka ku(sema)
niamini nikikuambia I love you

[www.mistari.com]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009