MSEJI LYRICS

"Hey"

Intro

cheki maisha unayoishi {ooh}
nataka kuwa famous
ooh,ooh{yeah} ooh,ooh{hey}nifike huko juu

Chorus

kwa wale hawanijui mimi ni g naitwa wawa{wawa}
zamani nilikuwa wanga naitwa baba {baba}
kwa wale hawanitambui mimi ni g naitwa wawa{wawa}
sijatrip nina tricks zitafanya uende aaaa{aaaa}

Verse 1

kwa wale hawanijui tena mimi nichizi nimetoka mombasa{mombasa}
nimekuja kubwaga lyrics kali ili ma mcs waende masaa{masaa}
the type of cat will catch you mpaka mtalia alaa{alaa}
ninarhyme nikitema kama 50 watu wanabaki wamezubaa
soon nitakuwa na hits{what}ndio hizo beats yaani kijana balaa{balaa}
soon watu watanifeel cos i am reel nitasema asantaa{asantaa}
kwa wale hawanijui i aint afraid kusema mimi ni pakaaa
g msafi kila siku utanikuta tusker mbili kwenye bar
arifu mi sibubu siogopi beef , yo pac is my ego
wanasema naweza hiphop,i hope nitagoo
sinahaja na hizoo doo simind maproducer wasiponipay
sababu iam popular , but i want to befamous today

Chorus

kwa wale hawanijui mimi ni g naitwa wawa{wawa}
zamani nilikuwa wanga naitwa baba {baba}
kwa wale hawanitambui mimi ni g naitwa wawa{wawa}
sijatrip nina tricks zitafanya uende aaaa{aaaa}

Verse 2

kila mtu mombasa anaipenda
thats where matuarist huenda 
man howcome benga watu wajiji wanjaribu kututenda
wamehijack blender yetu rap yaani bogibenda
but ni mearrive na silencer its time to surrender
nitaassemble g's wote{wote} tuamue yaani kuroga
nikianza na machizi, nigga #### mpaka sri lanka,
tutawakaranga muive{yea},mda mtapotea muwe ash{yea}
tuwe high rollin cats atamkisema tuko harsh
v.o.k baze {baze}khadija kingston arena{arena}
tudor mafia,manigga wa mashada barsheba {amkeni}
kwa uporaji tuko hodari your fame gonn drop
mtakula huu mwaka huu twende huko tops

Chorus

kwa wale hawanijui mimi ni g naitwa wawa{wawa}
zamani nilikuwa wanga naitwa baba {baba}
kwa wale hawanitambui mimi ni g naitwa wawa{wawa}
sijatrip nina tricks zitafanya uende aaaa{aaaa}

[www.mistari.com]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009