NONINI LYRICS
Uuuuuuh naskia nika naweza chukua mpenzi sabuni niko tu katika hali ya kusafisha kuni Ushaona mtotoe amesimama ka four point sita aitwa limama ama anita mrefu kidogo ameniacha ka three mita nimpande ka maji kwa tap ikitoka kwa mita mdogo mdogo anaeza nitingishia nikiwa nyuma yake unaeza dhani mi ni mkia imajin jo amefanya nikajimwagia na anacheka nikimwambia nataka kumtiaaaaaaaah akaipita base kila mtu anapita njiaaaah ta tabia zake uaezathani ye ni mlami ngozi yake ni laini na ni rangi ya lame macho ukimcheki ninawish ningekua ndanee ndane ya jeans yake mahaga size yake anipeleke kwake aishi kwa mamake kila Monday nimuamshe ngware ni mmange mateeee mateeee aaaaaah Mtotoe mzuri kwangu asiwe malaya Manze naeza like mtoto anapenda marap sana Mtotoe mzuri kwangu asiwe malaya Yeah huyoo ndo manzi naeza like eeeh angalau huyo ndo manzi hata naeza ita wife ka unapenda mi na kupenda ka unanilenga pia mi nakulenga eeeh napenda mamanzi wote tu wale wa supa kidogo wana mahaga mdogo mdogo mahudrad na maselbzi tu strong |
|
| All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only. | |
| Copyright © mistari.com 2009 |