Intro
Tim bana is the mic on
should I start recording
seriously Tim is the mic on
we can start yeah?
sawa
Verse 1
Maneno matamu kama asali ndio waniambia
wanituliza kwako wanishika mkono ninapolia
haunitoi rangi mbele ya watu waniheshimu
wanieleza mambo yalivyo bila udanganyifu
Bridge
sitaki mali yako
wala pesa zako
nipe roho yako
niwe wako
Chorus
the little things you do
ni kama dhahabu
yanichangamsha na furaha ya ajabu
the little things you do
ni kama dhahabu
yanichangamsha na furaha ya ajabu
Verse 2
wanitafutia ua nzuri kama nyota angani
huoni haya kusema pole au samahani
wanipeleka Java kunywa kahawa kwani ni dawa
yangu baada ya siku ndefu na kazi ngumu
Bridge
sitaki mali yako
wala pesa zako
nipe roho yako
niwe wako
Chorus
the little things you do
ni kama dhahabu
yanichangamsha na furaha ya ajabu
the little things you do
ni kama dhahabu
yanichangamsha na furaha ya ajabu
Verse 3
wanichanga, changanisha
wanichanga, changanisha
wanichanga, changanisha
wanichanga, changanisha
Bridge
sitaki mali yako
wala pesa zako
nipe roho yako
niwe wako
Chorus
the little things you do
ni kama dhahabu
yanichangamsha na furaha ya ajabu
the little things you do
ni kama dhahabu
yanichangamsha na furaha ya ajabu