Intro
iko juu tu sana
Iko down tu sana
iko juu tu sana
Iko down tu sana
Chorus
game yangu iko juu
Iko juu
Iko juu tu sana
na game yako iko down
iko down
Iko down tu sana
game yangu iko juu
Iko juu
Iko juu tu sana
na game yako iko down
iko down
Iko down tu sana
Verse 1(Bon’Eye)
Bon’Eyede juu ya kazi ngumu
Situmiangi juu juu
Mola nashukuru
The game, dame, rise to fame
Man hit zote ziko juu
Ni P Unit dammit
Kikundi inaleta hit after hit
Daktari kwa beat
Lazima ina-kick
Piga game ngeta
Acha hater akiteta
Dame wangu juu
Wako down tu
Wangu wa kijana wa town, so renowned na
Wewe so unknown yani, uko down
Wapi dame yako, Hauna nyako
Kamtoto kako, ha-ball uni-show
Lose it bro and you’ll wish you never had it
Blood group G, Genge addict
Mic Big G, Usiku mchana
Ntazichana, Mnaitane
Chorus
game yangu iko juu
Iko juu
Iko juu tu sana
na game yako iko down
iko down
Iko down tu sana
game yangu iko juu
Iko juu
Iko juu tu sana
na game yako iko down
iko down
Iko down tu sana
Verse 2 (Gabbu)
Ni ka mi niko juu sana
Na wee uko chini
Niko juu ya flight
We uko chini kwenye site
Hana mila juu na-ball na –floss pia na psyche
Ananihisi obvious mi ntamwita player hater
Njoo karibu na mi niku-show vile mi huishi
Unabonga mob lakini mi pia haunitishi
Una-hate sana na hauna single
Angalau ka-jingle
Toka nje uka-mingle
Unaenda chini sana huku mi napanda
Ukibonga mi ntakuvunja kiuso panda
Wee una mandugu na mimi nina madada
Wee hujangara nice na mi nimeng’ara dada
Nipishe nipite ama nipite na wewe
Usije na manzi yako ntapita na yeye
So mi niko juu sana
Na nyi mko chini
Niite Gabu aka Buganya
Chorus
game yangu iko juu
Iko juu
Iko juu tu sana
na game yako iko down
iko down
Iko down tu sana
game yangu iko juu
Iko juu
Iko juu tu sana
na game yako iko down
iko down
Iko down tu sana
Verse 3
Ngepa iko down but flow iko juu
Wengi wananipenda hawa wachache watado
Ukitaka kunipata wee angalia tu juu
Ka Raphael… Tuju
Asante Nonini si unajua tuko juu
Mi ni ka Jelimo mbio zangu ziko juu
Kwenye hii tracki flow iko juu
Frasha, king wa flow
Skiza jo,
Boy asha-grow
Ngoma zinaflow,
Zako zinabo
Mi nasaka dough,
Piga mdomo
Ngoma zangu zikiekwa wanaruka floor
ngoma zako zikiekwa wanahepa floor
Oh nimesahau,
Hunanga ma-show
Lakini wee ni bro,
But mi ndio msoo bro
Chorus
game yangu iko juu
Iko juu
Iko juu tu sana
na game yako iko down
iko down
Iko down tu sana
game yangu iko juu
Iko juu
Iko juu tu sana
na game yako iko down
iko down
Iko down tu sana