SAUTI SOL LYRICS

"Lazizi"

lazizi wangu wee
zawadi nono kutoka mbinguni
nakuwaza my baby
nikikuwaza usiku silali

nikikuona na wengine nashikwa na wivu
naomba unipe namba yako nikuvutie wire
nikupeleke Java
tunywe kahawa
tukizubaa duba duba

mukhali wanje wee
shihanwa shyanje khurula khu-nyasaye
ndakhuyanza my baby
shihanwa shyanje khurula khu-nyasaye

nikikuona na wengine nashikwa na wivu
naomba unipe namba yako nikuvutie wire
nikupeleke Java
tunywe kahawa
tukizubaa duba duba

zunguka zunguzukane
nikitafuta kama wewe
nina-feel so nice
unanipa mi amani
mbele baby
sioni njia bila wewe
wewe lazizi

mazoe manana, kadongangaeuta na lola
nakanisakayo cheri nanga
soki yo tena nzanga kapongi

[www.mistari.com]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009