SK BLUE LYRICS

"Pamela"
(with Ringtone)

Verse 1 (Ringtone)

Jamani inaniuma mimi nikikumbuka,
Pamela niliye mjua sasa yeye huwa
haeleweki,
Sunday school tulishinda pamoja,
Shuleni tulikua kwa CU,
Mpaka wakati tulimaliza shule ndipo
hapo tukapoteana,
Alinifanya nimjue mungu juu yeye
aliniubilia,
mara yeye akaanza kuwaka kanisani
akapotea,
sasa yeye huwa analewa mtaroni pia
analala,
polisi wamemushika pia wao hata
wamechoka,

Chorus

Pamela njoo kwa mungu bado
anakupenda,
Ni nini kilichokufanya ha kwake
mungu we uhepe eeeh,

Sk Blue

Tulienda shule pamoja eeh naongea
na Pamela,
Tulienda kanisa pamoja eeh am
speaking to Pamela,

Ringtone

Pamela njoo kwa mungu uuh bado
anakupenda,
Ninini unachotafuta aah kwake mungu
huwezi pata aah,

Sk Blue

Tulimjua mungu pamoja eeh uko
wapi Pamela,
Usihepe njoo kwa Yesu eeh
am speaking to Pamela,

Verse 2 (Sk Blue)

I remember we used to go to
church with that girl,
The one i knew,
Nakumbuka akisema ndoto zake
that girl,
The one i knew,
Ni nini tena maisha hivi
hivi,
The one I knew
Ni nini tena
kulewalewa hivi
hivi,
The one I knew,
Pamela eeeh eeeh
eeeh,
The one i knew,

Chorus

Pamela njoo kwa mungu bado
anakupenda,
Ni nini kilichokufanya ha kwake
mungu we uhepe eeeh,

Sk Blue

Tulienda shule pamoja eeh naongea
na Pamela,
Tulienda kanisa pamoja eeh am
speaking to Pamela,

Ringtone

Pamela njoo kwa mungu uuh bado
anakupenda,
Ninini unachotafuta aah kwake mungu
huwezi pata aah,

Sk Blue

Tulimjua mungu pamoja eeh uko
wapi Pamela,
Usihepe njoo kwa Yesu eeh
am speaking to Pamela,

Verse 3 (Ringtone)

Kanisani wanakuitaji ulikua
wa maana,

Sk Blue

Ulikua wa maana,ukitaka maovu
kuepukana,

Ringtone

Kwa mungu anakuitaji hiii (twice)

Chorus

Pamela njoo kwa mungu bado
anakupenda,
Ni nini kilichokufanya ha kwake
mungu we uhepe eeeh,

Sk Blue

Tulienda shule pamoja eeh naongea
na Pamela,
Tulienda kanisa pamoja eeh am
speaking to Pamela,

Ringtone

Pamela njoo kwa mungu uuh bado
anakupenda,
Ninini unachotafuta aah kwake mungu
huwezi pata aah,

Sk Blue

Tulimjua mungu pamoja eeh uko
wapi Pamela,
Usihepe njoo kwa Yesu eeh
am speaking to Pamela,

[www.mistari.com]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009