SUZUKI AND RISASI LYRICS

"Miss Digida"

Intro

Ni Suzuki
Na Risasi
Miss Digida

Chorus

Yeiye yeiyee wanamwita Miss Digida
Wowo wowoo wanamwita Miss Digida

Yeiye yeiyee wanamwita Miss Digida
Wowo wowoo wanamwita Miss Digida

Verse 1

Utajazika akitingisha hiyo mwili
Ni manzi aliyeumbika kamili na pia alivyojaa na ma-styli
Ndio wanamwita Miss Digida nakuambia pia wewe utapenda
Vile anavyoshuka na kupanda mabeste wanabaki waki-wonder
Je ukiona anavyokata chunguza macho inavyobeta
Machali wote wanadata mwenyewe kwa wenyewe wanaanza vita
Hajui vile anapandisia hiyo mita anavyoikalia
Kila mtu anashangilia karibu wote wanasongelea

Chorus

Yeiye yeiyee wanamwita Miss Digida
Wowo wowoo wanamwita Miss Digida

Yeiye yeiyee wanamwita Miss Digida
Wowo wowoo wanamwita Miss Digida

Verse 2

Utashangaa ukimwona anavyokatika
Style kali ukimwona unabambika anavyoenda chini
Utadhani ana mashini
Ni ka mifupa haziko hapo ndani
Anavutia macho akitingisha inabidi ni nduru anapigisha
Akianza kusonga style akizipanga
Machali wazubaa ka wajinga usimwone akiwa ndani ya jeans
Anastahili awe cover ya magazine shindano zote ye ana-win
Ndio pia anaitwa dancehall Queen
When I say digi you all say da
Digi---
When I say digi you all say da
Digi---
Mikono juu mikono juu
Mikono juu mikono juu
To the right to the left
To the right to the left

Chorus

Yeiye yeiyee wanamwita Miss Digida
Wowo wowoo wanamwita Miss Digida

Yeiye yeiyee wanamwita Miss Digida
Wowo wowoo wanamwita Miss Digida

Utajazika akitingisha hiyo mwili
Ni manzi aliyeumbika kamili na pia alivyojaa na ma-styli
Ndio wanamwita Miss Digida nakuambia pia wewe utapenda
Vile anavyoshuka na kupanda mabeste wanabaki waki-wonder
Je ukiona anavyokata chunguza macho inavyobeta
Machali wote wanadata mwenyewe kwa wenyewe wanaanza vita
Hajui vile anapandisia hiyo mita anavyoikalia
Kila mtu anashangilia karibu wote wanasongelea

Chorus

Yeiye yeiyee wanamwita Miss Digida
Wowo wowoo wanamwita Miss Digida

Yeiye yeiyee wanamwita Miss Digida
Wowo wowoo wanamwita Miss Digida

[www.mistari.com]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009