SYD LYRICS

"Utado"
(feat. Bobby Mapesa)

Intro

Mandugu Digi
ndani ya Blu Z
Syd Justice
Bobby Mapesa
Let's get this paper
Let's get this money man
Let's get this paper
(Bongosha ngulule)

Chorus

Utado
ukini-get na manzi yako ka yuko juu
utado

Utado
ukini-get na manzi yako ka yuko juu
utado

Utado
ukini-get na manzi yako ka yuko juu
utado

Utado
ukini-get na manzi yako ka yuko juu
utado

Verse 1 (Syd)

ati nita-do
usitake juu
nitaku-dismantle katikati ya miguu
na huyo sista do my so called baby boo
lazima anijibu (why why why)
ani-show ni kwa nini
maswali mengi kweli
mbona kunisaliti why do the freaky thingy
na kama ni mataki kwani mimi niliwa nini
ku-use CD sijakataa, mbona hivi
na wewe mudhii
what makes you think you can mess with my chick
and still be pals with me
walai siwezi forget nikiwa-get
mkiwa na manzi yangu kwa bed mki(uuwii)

Chorus

Utado
ukini-get na manzi yako ka yuko juu
utado

Utado
ukini-get na manzi yako ka yuko juu
utado

Utado
ukini-get na manzi yako ka yuko juu
utado

Utado
ukini-get na manzi yako ka yuko juu
utado

Bongosha ngulule
Bongosha ngulule
Bongosha ngulule
Bongosha ngulule

Verse 2 (Syd)

yo, sema, ngoja tena
mazee mi nitakushika (ha!)
nikuchape nikuhande nikukate (no!)
kisha nii-roll kwa tissue niitupe (sure!)
nikuwache uki... hapa on the floor
tumetoka mbali tumeponda mali pia
hata nikakupa ganji nikacheki hali yako
ya kushikashika madame na kuwapa (mm, mm)
samahani saa ni manzi yangu umetamani
ee,, eh, mazee siamini jo
kama hivyo ndio kuko basi akwende huko
sitaki ukoo, sitaki mbwa koko
sitaki nyokonyoko kama chokoch wa soko

Chorus

Utado
ukini-get na manzi yako ka yuko juu
utado

Utado
ukini-get na manzi yako ka yuko juu
utado

Utado
ukini-get na manzi yako ka yuko juu
utado

Utado
ukini-get na manzi yako ka yuko juu
utado

Verse 3 (Bobby Mapesa)

najua mnadhani nta-fight, sita-fight
na mutajisa ya zero degrees farenheit
celsius, najua mko anxious right?
mi hu-fly ka kite
so tonight namkulia vako, namzimia light
au natulia nacheka
ka niko na veve nazidi kuveveka
haja gani kuteseka
na uchafu ya mkeka
mi sijaiweka
nasema hmmm... haina mambo
nimetamani kupigana kombi toka kitambo
hii ni mapenzi ibuka iliyo mama wa kambo
hivyo ndivyo juzi walimfanyianga mazee Wambo
bila kusita ita Quinta
au Jacinta, naku-show namwita
heya, mi ni player
pole sana ka nimekukosa
mi si-share, yeah
najua si fair
lakini mimi huwa si-share

Chorus

Utado
ukini-get na manzi yako ka yuko juu
utado

Utado
ukini-get na manzi yako ka yuko juu
utado

Utado
ukini-get na manzi yako ka yuko juu
utado

Utado
ukini-get na manzi yako ka yuko juu
utado

[www.mistari.com]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009