Chorus
jua lanyesha
mvua yawaka
siku zapita
hakuna matata
jua lanyesha
mvua yawaka
siku zapita
hakuna matata
Verse 1
na nikasema
siku yaanza pambazuka
na nikasema
mpanda ngazi atashuka
akionekana
najua ye atanyongwa
mwana wa nyoka
kapinduka kawa paka
Chorus
jua lanyesha
mvua yawaka
siku zapita
hakuna matata
jua lanyesha
mvua yawaka
siku zapita
hakuna matata
Verse 2
siku za mwizi ni arubaini
na siku za giza ndizo zawadia
akionekana
najua ye atanyongwa
mwana wa nyoka
kapindukia
Chorus
jua lanyesha
mvua yawaka
siku zapita
hakuna matata
jua lanyesha
mvua yawaka
siku zapita
hakuna matata
Verse 3
wanionaje
wanipe jembe
nikalime
wadhani huu ni upweke
wanionaje
mwenye wivu ajinyonge
utajinyonga, uh-huh
utajinyonga, uh-huh, uh-huh
haiyaee, haiyaee
jua lanyesha
haiyaee, haiyaee
mvua yawaka
haiyaee, haiyaee
siku zapita
hakuna matata
haiyaee, haiyaee
jua lanyesha
haiyaee, haiyaee
mvua yawaka
haiyaee, haiyaee
siku zapita
hakuna matata
Chorus
jua lanyesha
mvua yawaka
siku zapita
hakuna matata
jua lanyesha
mvua yawaka
siku zapita
hakuna matata