Verse 1
Mateso ya roho,
umenivunja moyo
Umenitesa,
kanifanya nalia
Wangapi kapitia,
Mimi, Rhoda, Sophia
Wanichezea,
na sasa naishia
Na wahenga walitueleza,
usipo ziba ufa utajenga kuta
Basi ukuta
hiyo ishabomoka
Umenifanya nitapike,
umenitendea upweke
Siwezi tena,
wanifanya nawika
Chorus
Woi woi, parapanda inalia
Woi woi, kesho unaishia
Masaa imekwisha
Nalia woi woi, nawika
Verse 2
Sijui kwa nini,
najipata narudi
Ninaombea wangu wa kidumedume,
mpaka asukumwe
I know he's a liar but I can't help myself
I'm going back
and just don't ask me why
Nitawezaje kumweleza
roho yangu ishapenda
Mateso haya,
yananihangaisha
Chorus
Woi woi, parapanda inalia
Woi woi, roho ishapenda
Masaa imekwisha
Nalia woi woi, nawika