CHORUS
Baby nitajuaje wanipenda ah ah…
Baby ama kweli wanipanga ah ah…
Mimi siwezi kukukataa, nikiwa na wewe na hisi raha
Toka kichwani mpaka moyoni, ndani kwa ndani mpaka rohoni
Lakini nina swali moja, mpaka lini uta niambia wanipenda
Ongea kwa vitendo, nimechoka na maneno
CHORUS
Baby nitajuaje wanipenda ah ah…
Baby ama kweli wanipanga ah ah…
Baby hei haifaii, Siku mingi na hey sijawahi,
Kupata penzi lako na nina dai,
Tafadhali sote jua tuta furahi,
Kwakweli siku imefika, Fanya kweli kama unanipenda
Mapenzi si maneno, mapenzi ni vitendo
CHORUS
Baby nitajuaje wanipenda ah ah…
Baby ama kweli wanipanga ah ah…
Tumeishi miaka mingi kwa peace, so kuachana baby si rahisi
Time ndio hii kutimiza yetu promise,
Wacha kuogopa baby boo, Niko sure na chenye nina do
Mimi nakupenda siwezi kukutenda, c’mon baby
Baby nitajuaje wani panda aaah,
Ama kweli wani panga aah,
Nitajuaje, nitajuaje, Nitajuaje…