WAKIMBIZI LYRICS

"Hallo Hallo"

Chorus

hallo hallo
nataka kuongea na Mariko
tafadhali dada 
kwangu hii ni wrong number

hallo hallo
nataka kuongea na Mariko
tafadhali dada 
kwangu hii ni wrong number

Verse 1 (Mariko)

nakumbuka hapo zamani nikiwa mtoto mdogo
nilikuwa mjinga sana ni kama sina ubongo
washikaji kibao niliwapiga denti za simu
wengine nawajua wengine siwafahamu
lakini siku moja nilipokea yangu wazimu
nikidhani kuwa naongea na mtu timamu
akapiga simu (nataka kuongea na Mariko)
jibu akapokea kwangu hii ni wrong number
kawaida yangu kuwapiga denti za simu nikaanza
hata kama dada kwangu hii ni wrong number
hiyo sauti yako nyembamba imenibamba
ningelipenda mimi na wewe tuweze kujuana
ili tupange siku vile tutaja kutana
kisha akakubali tukutane Kenya Sinema
utanikuta hapo nje ka nimesimama
tafadhali dada
kwangu hii ni wrong number

Chorus

hallo hallo
nataka kuongea na Mariko
tafadhali dada 
kwangu hii ni wrong number

hallo hallo
nataka kuongea na Mariko
tafadhali dada 
kwangu hii ni wrong number

Verse 2 (Mr. Filter)

Kenya Sinema nilipofika nikamwona mama flani
kumtazama usoni alikuwa amevaa miwani
akaja kuniuliza
kijana wamngojea nani
nami nikamjibu namngoja honey flani
kimavazi ni kama wewe lakini nadhani ni mwembamba
alikuwa anapiga simu na ikawa ni wrong number
basi wewe nani
jina langu Mr. Filter
ni mi umenipata
dhani si wewe dada
kama wanikataa basi wacha nipige simu
tuonee mimi na wewe nani ndio wazimu
hallo hallo, natakakuongea na Filter
ni kweli dada
naona si wrong number
lakini nimepokea simu kadhaa mara saba
si eti mimi najaribu kukukana
waeza ongea kwa boothi ya simu kumbe ni baba
denti za simu saa Mr. Filter ninakataa

Chorus

hallo hallo
nataka kuongea na Mariko
tafadhali dada 
kwangu hii ni wrong number

hallo hallo
nataka kuongea na Mariko
tafadhali dada 
kwangu hii ni wrong number

Verse 3 (Andre)

iliyotokea Kenya Sinema ilikuwa kweli adhabu
kama Dr. Mark kumpata asiye timamu
usiwe mfanyikazi unataka kuwa boss
mpate sugar mummy utapata hizo pose
Andre kawaida yangu sipendi kusumbuliwa
kama DJ Stone simu alivyopigiwa
hallo hallo nataka kuongea na Andre
tafadhali dada
kwangu hii ni wrong number
si uliona Mr. Filter alipata bonge la mama
ambaye ye mwenyewe hangeweza kumbamba
ni lazima nikuone ndio uwe my one number
hapo mambo yetu kweli yatakwenda salama
iweje mimi nyota nipate dame mshamba
ambaye ye mwenyewe hajui kupiga pamba
lazima awe mzuri ndio niweze kumlamba
nami nionekane kidume pia natamba

Chorus

hallo hallo
nataka kuongea na Mariko
tafadhali dada 
kwangu hii ni wrong number

hallo hallo
nataka kuongea na Mariko
tafadhali dada 
kwangu hii ni wrong number

[www.mistari.com]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009