WAKIMBIZI LYRICS

"Makanga"
(feat. Ulopa)

Intro

Mi nataka jibu mama wee,
Mi nataka jibu dada wee,
Mi nataka jibu mama wee,
dada wee

Mi nataka jibu mama wee,
Mi nataka jibu dada wee,
Mi nataka jibu mama wee,
dada wee
ULOPA NGOMA!!

Verse 1

Nilifanya kila kitu ili nione unefurahi, 
nikakujengea nyumba nikakupa mpaka gari,
familia ikiwa na shida nilienda kuwasabai 
nililinda familia yako na kuwapa kila mahitaji,
nilifanya hivyo vyote ili wee usiniache 
nilikuwa nakuheshimu na kuogopa mpaka wakwe
Na watu kunisifia wee ndio ulipata mkwe, 
nilikuwa nakupenda jamani sifa za bure
Ulipokuwa ukitaka fedha nakupa bila maswali 
na sikuwa ninakuuliza
Fedha ulifanyia nini kumbe pesa zangu nakupa 
unasaidia yule makanga wa 46

Chorus (Ulopa)

Mi nataka jibu mama wee
Mi nataka jibu dada wee
Ama uliniona mimi sifai
Ndiposa kaenda na makanga
Mi nataka jibu mama wee
Mi nataka jibu dada wee
Ama uliniona mimi sifai
Ndiposa kaenda na makanga

Kama ni pesa ulitaka nilikupa
Gari nikanunua mama wee
Nikakujengea nyumba ya gorofa
Na bado ukaniacha kaenda na makanga
Kama ni pesa ulitaka nilikupa
Gari nikanunua mama wee
Nikakujengea nyumba ya gorofa
Na bado ukaniacha kaenda na makanga

Verse 2

Tafadhali nieleze nilikukosea nini nataka uniambie
Kama hukuniamini freedom nilikupa ulivaa hata mini
Chochote ulichotaka nilikufanyia mimi labda sikuwa
Nikikupatia penzi tafadhali nipe jibu ili nijue mpenzi
Nikaangalia sioni ulichoona kwa makanga stress zanimaliza
Food nashindwa kumanga nabidi ninywe pombe narudi niki-stagger
Natembea nikianguka mwenzio nasaga ripoti nazopokea
Siku hizi wamangamanga umekuwa kama kuku akiwa na vifaranga
Nifanye vipi urudi ama niende kwa mganga tafadhali nipe jibu
Ili nijue mama uliniahidi hutaniacha na mbona kaenda na makanga

Chorus (Ulopa)

Mi nataka jibu mama wee
Mi nataka jibu dada wee
Ama uliniona mimi sifai
Ndiposa kaenda na makanga
Mi nataka jibu mama wee
Mi nataka jibu dada wee
Ama uliniona mimi sifai
Ndiposa kaenda na makanga

Kama ni pesa ulitaka nilikupa
Gari nikanunua mama wee
Nikakujengea nyumba ya gorofa
Na bado ukaniacha kaenda na makanga
Kama ni pesa ulitaka nilikupa
Gari nikanunua mama wee
Nikakujengea nyumba ya gorofa
Na bado ukaniacha kaenda na makanga

Verse 3

Sometimes naketi chini mi najiuliza maswali kibao akilini
Uliniacha kwa nini maswali bila majibu yananipa maumivu
Nakosa wa kunitibu nakuwaza kila siku
Kutuliza mawazo inabidi niende mtoni kasha nala majani
Asubuhi mpaka jioni nikirudi nyumbani motto naye maswali
Kukuuliza atoke hadi akwende wapi Mummy? Domo inakuwa nzito
Kisha nakosa majibu huenda mtoto mdogo nabaki naona aibu
Naangalia pembeni machozi yakinidondoka motto naye akiona
Analia akitoroka nikijaribu niwe tough ni-heal kuvumilia
Si sote tukilia ni nani atasaidia na mimi bado nipo
Kwa hivyo waniskia na ka una roho ya utu juu ya mtoto utanirudia

Chorus

Mi nataka jibu mama wee
Mi nataka jibu dada wee
Ama uliniona mimi sifai
Ndiposa kaenda na makanga
Mi nataka jibu mama wee
Mi nataka jibu dada wee
Ama uliniona mimi sifai
Ndiposa kaenda na makanga
Kama ni pesa ulitaka nilikupa
Gari nikanunua mama wee
Nikakujengea nyumba ya gorofa
Na bado ukaniacha kaenda na makanga

Kama ni pesa ulitaka nilikupa
Gari nikanunua mama wee
Nikakujengea nyumba ya gorofa
Na bado ukaniacha kaenda na makanga

[www.mistari.com]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009