WARIDI LYRICS

"Kweli"
(feat. K-Rupt)

Verse 1 (Waridi)

hakuna mwingine
anipa penzi
kama lako
na vile wafanya
moyo wangu 
kuzimia
kuwa hivi ni tumie
niseme nini
vile wafanya
moyo wangu
moyo wangu

Chorus

kweli
kanibadilisha kweli
raha kanipa
kweli
never be the same again

Verse 2 (Waridi)

sina giza tena
ila mwanga pekee yake
kanipa furaha
maneno yamenishinda
ama ni moyoni mwangu
aah, aah, raha
uliponijia
mimi
mimi

Chorus

kweli
kanibadilisha kweli
raha kanipa
kweli
never be the same again

kweli
kanibadilisha kweli
raha kanipa
kweli
never be the same again

Verse 3 (K-Rupt)

mara ya kwanza nilipokupata nilifanya
nimepata sickness
hot ma she witness
kutupilia mbali kugusa bila maswali
sasa naridhika penzi lako la wastani
na wewe darling nakujali
dada Waridi wee ni nuru tu gizani
na sita-mind
hata kama umenibadili
kwa sababu najua wani-mind

Chorus

kweli
kanibadilisha kweli
raha kanipa
kweli
never be the same again

kweli
kanibadilisha kweli
raha kanipa
kweli
never be the same again

[www.mistari.com]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009