WAWESH LYRICS

"Home Sick"

Intro

Kutoka mbali, hali, ni ngumu, uchungu

Chorus

Sababu nime zubaa niko (Homesick)
Nakosa Family home niko (Homesick)
Na mabeshte wa before niko (Homesick)
Nina jaribu ku go niko (Homesick)

Verse 1

Nimeona shida mingi lakini mimi sichoki
Asanti Nairobi, Pumu na coast boarding
Mlinipa nguvu na roho, mi siogopi
Tafadali ni die on my feet than magoti
I cant afford it, Im humble never boasting
Naweka pride aside, who needs supporting

Chorus

Sababu nime zubaa niko (Homesick)
Nakosa Family home niko (Homesick)
Na mabeshte wa before niko (Homesick)
Nina jaribu ku go niko (Homesick)

Uko (Homesick)
Tuko pamoja basi si tuko (Homesick)
Mimi na wewe enyewe tuko (Homesick)
Tuna jaribu ku go (Homesick)
Labda you have noticed wengi wako (Homesick)
Odhiambo na ma Nimos wako (Homesick)
Mohammed na ma Kiptos wako (Homesick)
Wakilsiha ma people they are (Homesick)

Verse 2

Nani mwenye makosi
Tuna come, tuna dozi
Wengine wame o.d.
Wengine wana copy
Wengina niwa ngondi
Wengina wako hosi
Wengine niwa dosi
Na Wengina hawaja sosi
Huku ulaya kuna mavitu vibaya zinafanyika na sisi lazima tu amuke
Fungua macho manze usi anguke

Chorus

Sababu nime zubaa niko (Homesick)
Nakosa Family home niko (Homesick)
Na mabeshte wa before niko (Homesick)
Nina jaribu ku go niko (Homesick)

Bridge

I remenise over you my country
I remenise over the things that you have taught me
I remenise and in my sleep you haunt me
I have made up my mind, am going hope you want me

Chorus

Sababu nime zubaa niko (Homesick)
Nakosa Family home niko (Homesick)
Na mabeshte wa before niko (Homesick)
Nina jaribu ku go niko (Homesick)

I was (Homesick)
Who could have known I was (Homesick)
I opened my eyes, I was (Homesick)
And then I got tired of being (Homesick)
I finally know I am (Homesick)
Im ready to go, I was (Homesick)
Im taking it home, I am (Homesick)
I havent been home, I was (Homesick)

This goes to all of my people who feeling (Homesick)
And out of focus, your hopelessly (Homesick)
I can relate to they way your feeling (Homesick)
I am there I can feel it, I am (Homesick)
Its now or never so my people lets go

My people lets go
My people lets go
My people LETS GO!

[www.mistari.com]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009