WAWESH LYRICS

"Wasanii"

Chorus

Akina Hardstone, level with me
Nazizi, level with me, Nameless, level with me
Chameleon, level with me, Sugu, level with me
K-shaka, level with me, Kantai, level with me, Nonini, level with me

Verse 1

Tafadali, hiki kizazi kikubali jo, bila uchawi jo
Mina watakia heri na fanaka
Si mambo ile rahisi, takataka,
Manze twara muchene na kou, ti guku
Hapa ni hiba natengenezea watoto
Ndio bidii ifanywe kengele iki gongwa
Mi siko in kahoots na mutu yoyote
Na wakilisha watu wangu wote
E.A. kwa ma brathe na sistes
Njoo mbele jo, usijifiche

Chorus

Hakina Prezzo, level with me
Mwafrika, level with me, Bamboo, level with me
Kleptos, level with me, Vultures, level with me
Patow, level with me, Ousman, level with me, Kimani level with me,
Wahu, level with me, Redsan, level with me, Big pin, level with me,
T.I.D, level with me, Jua kali, level with me, Nikki, level with me,
Ukoo Flani, level with me,
Ambasada, level with me

Verse 2

Aui, kwisha tabu, ma vichwa ngumu sahi nawapa adabu
Watakubali tabia hiyo haramu, badili badilika kwa bina damu
Vile kwanza ngoma ime wabamba alafu waki skiliza fit
Wame kwama, hawa toki, hawa choki
Wame kamatua na orogi wa Nairobi
Sa na wa onesha vile ku boresha
Wanasema woiye Wa to the professor
Tafadali mulipe wasanii zile pesa, eshimu kazi na ruhya ya Poxi Pressure
Shioje ikumi shiekeritwa na umwe urena hinya

Chorus

Akina Ala holla, level with me
Clear cut, level with me, Ray C, level with me
Mr Blue, level with me, Juma Nature, level with me, Diehard, level with
me, Jaymo, level with me
Dobeez

Bridge

Mwenye ushibe, hujui, hujui, hujui
Mwenye na njaa, hajui, hajui, hajui
Mi nina njaa, we una njaa, si tuna njaa (ukweli)
Mwenye ushibe, hujui, hujui, hujui
Mwenye na njaa, hajui, hajui, hajui
Mi nina njaa, we una njaa, si tuna njaa

Verse 3

Haya haisha, ume shtakiwa we baba..baika
Wame kujua say bye bye, maisha
Yaku danganya na ku nyang'anya mshara ya kazi, mwingine ali fanya
I say hiyo samo sio nzuri
What goes around hukuanga iki rudi
Mkipenda tuna penda na nyinyi
Mkicheka tuna cheka na nyinyi
Tuna teta iko pesa mnatesa kwanini
Enea propaganda ya genge, kapuka, nunua copy yako official kwa duka
Kama nyinyi ni waombezi, DJ chunga
Bootleg tape distributors

Kenya, level with me, Bongo, level with me
U.G, level with me, Congo, level with me
Zambia, level with me, Burundi, level with me
Arabu, level with me, Malawi, level with me

[www.mistari.com]
All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009