WEBI LYRICS

"Mbingu Na Nchi"

Ubeti

Mfano wa upendo wako, ni ulivyo tupa mwanao, pendo dhahiri.
Vitendo vya kuhangaisha, maneno ya kudhoofisha, ulistahimili.
Kwa badala yetu sisi, kafa msalabani, uhakika wa faraja kamili.
Nafsi zetu kaziosha, maisha ya upili, hivi tulivyo tu viumbe vipya a a a a..

Kipokeo

Nashangazwa ulivyo yajali yetu maisha, wema wako, hauna kifani.
Ni wewe pekee unayefaa kuabudiwa siku zote, ulieumba mbingu na nchi..

Ubeti

Nue kwakwa ivia yitathingithaw’a,
Nue kwakwa thayu wa tene na tene eee
Ila nai Mwau wambukililye wangwatiiya
Nue Ngwisilasya nue waw’o nue eee

Nzeng’aswa nzeng’aswa ni maundu maku monthe
Nzeng’aswa nzeng’aswa ni wendo waku kwakwa Vava
Nzeng’aswa nzeng’aswa ta nzenga nzenye usenyo
Nue wakwa waw’o nue Mwiai

[www.mistari.com]

All lyrics are property and copyright of their owners. All lyrics provided for educational purposes only.
Copyright © mistari.com 2009